Ni zaidi ya kuchapia

Hacktivist

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
249
Reaction score
86
Leo nimemsikia jamaa kachapia mpaka nikahisi akiendelea hv anaweza akawa bubu..
jamaa kaniuliza hv "Eti kati ya mbuzi na mkubwa nani nguruwe?"..wakuu embu naombeni nanyie mtoe michapio ambayo mmeshawahi kuisikia ikawaacha hoi....
 
hahaha mkuu ww pia unaweza kutupa ma-experience yako
Wakati tupo JKT mshikaji alitoroka mazoezi, alipokamatwa akaambiwa achague adhabu kusimama kichwa juu miguu chini siku nzima au kuchimba shimo la choo siku nzima. Jamaa kwa paniki akachagua kuchimba choo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…