Ni zaidi ya mwezi sasa tangu utumishi walipoahirisha usaili wa TRA pale Dodoma bila Majibu

Ni zaidi ya mwezi sasa tangu utumishi walipoahirisha usaili wa TRA pale Dodoma bila Majibu

Neek

Member
Joined
Oct 1, 2019
Posts
75
Reaction score
86
Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi Degree.

Lakini baada ya kufanya written siku ya 09/08/21 UTUMISHI wakatoa tangazo la kuahirisha kufanyika kwa awamu ya pili ya usaili wa mahojiano uliotegemewa ungefanyika kuanzia Agost 23-27 kwa sababu ambazo hawakuzitaja hadi leo.
 
Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi Degree...

Taarifa nilizopata (ambazo sijazithibitisha) ni kwamba usaili ulifanyika kimyakimya ambao zaidi uliwahusisha wale waliokua waki volunteer/intern, na tayari wamesha ajiriwa.
 
Ukiona kimya ndio imeisha hiyo Ndugu. Hapa ni bongo.
 
Noma sana "it doesn't matter what you know but Who you know"
 
Taarifa nilizopata (ambazo sijazithibitisha) ni kwamba usaili ulifanyika kimyakimya ambao zaidi uliwahusisha wale waliokua waki volunteer/intern, na tayari wamesha ajiriwa.
Mkuu angalia usije ukawa pakinisha wadau maana watu bado hawaja kata tamaa ya kusikilizia mtaani huko mpaka sasa[emoji1787]
 
Back
Top Bottom