Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi Degree...
Mkuu angalia usije ukawa pakinisha wadau maana watu bado hawaja kata tamaa ya kusikilizia mtaani huko mpaka sasa[emoji1787]
Taarifa nilizopata (ambazo sijazithibitisha) ni kwamba usaili ulifanyika kimyakimya ambao zaidi uliwahusisha wale waliokua waki volunteer/intern, na tayari wamesha ajiriwa.
Hali ni ngumu sana mtaani mkuu.Mkuu angalia usije ukawa pakinisha wadau maana watu bado hawaja kata tamaa ya kusikilizia mtaani huko mpaka sasa[emoji1787]