Ni zaidi ya nusu saa tunasubiri mwendokasi hapa faya ya kwenda feri sasa sijui wamegoma au utaratibu wao

Ni zaidi ya nusu saa tunasubiri mwendokasi hapa faya ya kwenda feri sasa sijui wamegoma au utaratibu wao

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Tupo hapa faya tunasubiri gari ya mwendokasi ya kwenda feri zaidi ya nusu saa zinapita tupu out of service yaani tumekaa sasa sijui ndio utaratibu huu wengine wageni
17411865119712589430175356206924.jpg
 
Kwa kawaida inaweza kuchukua nusu saa Hadi saa 1 Moja.
Mwendokasi ni pale bus inapoanza safari sio wakati wa kusubiri gari
 
Ingekuwa mimi ningeanza kutembea mdogo mdogo mpaka nyumbani.
Maza kashasusa watoto wake unadhani nini kimebaki?
 
Ndio matokeo chanya hayo ndugu, lazima usubirie hata masaa mawili ili gari lije. Ni jambo la kawaida sana
 
Back
Top Bottom