Ni zaidi ya nusu saa tunasubiri mwendokasi hapa faya ya kwenda feri sasa sijui wamegoma au utaratibu wao

Kwa kawaida inaweza kuchukua nusu saa Hadi saa 1 Moja.
Mwendokasi ni pale bus inapoanza safari sio wakati wa kusubiri gari
 
Ingekuwa mimi ningeanza kutembea mdogo mdogo mpaka nyumbani.
Maza kashasusa watoto wake unadhani nini kimebaki?
 
Ndio matokeo chanya hayo ndugu, lazima usubirie hata masaa mawili ili gari lije. Ni jambo la kawaida sana
 
M
Tupo hapa faya tunasubiri gari ya mwendokasi ya kwenda feri zaidi ya nusu saa zinapita tupu out of service yaani tumekaa sasa sijui ndio utaratibu huu wengine wageniView attachment 3260004
mama anaupiga mwingi mitano tena,naamini toka amekufa magufuri hii inchi imekuwa kama yatima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…