Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa udom mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october udom, i love u udom.
jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa UDOM mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october UDOM, I LOVE U UDOM.
kumbe umejoin JF leo! ndo mana bado unamawazo hayo, nan kakwambia kuna mtu anakponda UDOM now days, kulikua na wapuuzi wachache tu ambao WAMESHAKUA NA WAMEACHA...jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa UDOM mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october UDOM, I LOVE U UDOM.
Suaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
i love u udsm muce
imefanyaje...?
Acha kujiinua MUCE NI MUCE na UDSM ni UDSM japo ni campus yake ila kam unasoma udsm njoo main campus upge paper kama utaruhusiwa
karibu utajionea mwenyewe hata kuja kutalii tu! Suaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nani aje kwani me mshamba...?
kila mtu anatakiwa ajivunie alichopata maana maisha yake binafsi hayatasaidiwa na kitu kisicho chakemimi najivunia mifugo mpwapwaaaa hiyo ndugu
kila mtu anatakiwa ajivunie alichopata maana maisha yake binafsi hayatasaidiwa na kitu kisicho chakemimi najivunia mifugo mpwapwaaaa hiyo ndugu