mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
huna cut point 5.0 ww una 2.0 nimegusa ukwl samahan
sioni sababu ya kubishana na wewe, endelea kuamini unachokiamini, tutakutana uraiani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna cut point 5.0 ww una 2.0 nimegusa ukwl samahan
kizazi kina shida hiki mkuu mbna nilikuuliza swali rahisi tu nilikuuliza hivi hiyo mpwapwa mifugo ni chuo au kituo cha mifugo na kama ni chuo je kipo under TCU sasa maelezo hayo yote mbona mimi cjayauliza mkuu...?
kizazi kina shida hiki mkuu mbna nilikuuliza swali rahisi tu nilikuuliza hivi hiyo mpwapwa mifugo ni chuo au kituo cha mifugo na kama ni chuo je kipo under TCU sasa maelezo hayo yote mbona mimi cjayauliza mkuu...?
usijifanye mstaarabu hukuuliza kistaarabu,unaposema au kituo cha mifugo inamaana na mimi kuchaguliwa huko nimekua mfugo?Wenzako wa udsm tena engineers wako huku mitaa wanafundisha temporary,kuwa na ustaarabu JF sehemu ya kumake friends later watu tuje peana ramani za maisha badilika ndugu
ulisoma combi gani?ulipata ngapi?uko chuo gani?unachukua faculty gani?umeshawahi ajiliwa sehemu?ulikuwa unalipwa kiasi gani?kama unayohaya majibu nitafahamu kama kweli unajua unaenda wapi!
Nilikua sijui kwamba maisha yana ramani worry out next time ntakuuliza vizuri isije ukanibania hiyo ramani.
Hvyo vngine sioni umuhimu wa kukuambia kama unavitaka ni PM mkuu ila kwenye ajira sijawahi kuajiliwa na sifikirii kama ntafikia huko.
i love u udsm muce
Oil sum na man steel yawahusu hii. Nawatafuta saana niny madogo na hao wengne ka niny il nipate japo wakanya kodogo nahc huu muda ntakupaten.
Madogo niny mnasoma education na unaweza kuta za arts yahn hyo taka yako kwa mwenzako n 'taka taka tena' af haitosh unakuja kuanza wadharau wengne ambao unahc umewapta ubora wa chuo na c kua ushawapta maisha. M c frst year ka niny ila inaniuma saana kumdharau m2 ambaye haata umjui haipendez na kuna wenzako ambao wapo jesh na hata wengne wapo ktaa wamekupta mbaaal sana na hawana majivuno so badilka sasa madogo unaweza kuta yule ambaye unahs umempita sasa kesho kakuacha mbal saana nawe unaweza kuta yule ulokupta kesho yupo nyuma yako cc wengne 2nasoma coz ambazo ukienda nchi yoyoote napata kaz hapa dunian bila tatzo cjui eht nan anakujua wala nn ila 2po 2me2lia 2napga michongo na wa2 wa aina zote il maisha yasonge mana hakuna anae jua kesho. Nakuomben hacha majvuno ya kusifia taka zanu hzo amabazo kwa wengne n taka taka mnachefua wenzenu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
duuu, first year bwana, kweli utawajua, mada zao zile zile
kwahyo na kelele zako zooote cku zote kumbe una cut off point ya 5.0 ?huna cut point 5.0 ww una 2.0 nimegusa ukwl samahan
wakikua wataachahahahahaha first yeaer majanga sana
ndio nini sasa hiki?Suaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa