Ni zam ya udom sasa

Ni zam ya udom sasa

Status
Not open for further replies.
cha msingi GPA ya maana tuu hakna cha udsm wala nn bscherlor of science in chemistry tukutane UDOM wandungu
 
kizazi kina shida hiki mkuu mbna nilikuuliza swali rahisi tu nilikuuliza hivi hiyo mpwapwa mifugo ni chuo au kituo cha mifugo na kama ni chuo je kipo under TCU sasa maelezo hayo yote mbona mimi cjayauliza mkuu...?

ulisoma combi gani?ulipata ngapi?uko chuo gani?unachukua faculty gani?umeshawahi ajiliwa sehemu?ulikuwa unalipwa kiasi gani?kama unayohaya majibu nitafahamu kama kweli unajua unaenda wapi!
 
usijifanye mstaarabu hukuuliza kistaarabu,unaposema au kituo cha mifugo inamaana na mimi kuchaguliwa huko nimekua mfugo?Wenzako wa udsm tena engineers wako huku mitaa wanafundisha temporary,kuwa na ustaarabu JF sehemu ya kumake friends later watu tuje peana ramani za maisha badilika ndugu
 
Nilikua sijui kwamba maisha yana ramani worry out next time ntakuuliza vizuri isije ukanibania hiyo ramani.
 
ulisoma combi gani?ulipata ngapi?uko chuo gani?unachukua faculty gani?umeshawahi ajiliwa sehemu?ulikuwa unalipwa kiasi gani?kama unayohaya majibu nitafahamu kama kweli unajua unaenda wapi!

Hvyo vngine sioni umuhimu wa kukuambia kama unavitaka ni PM mkuu ila kwenye ajira sijawahi kuajiliwa na sifikirii kama ntafikia huko.
 
pia cna haja navyo bado hujajua maisha,biashara zinazunguka na bado tunataka employment kwamaana ambayo wewe huwezi fahamu bado!usijali yote maisha ndugu na utegemea na unavyoyapanga sawa!changa karata zako vizuri
 
I love u UDSM,hata kama ukiwa Main campus,DUCE au MUCE ukishamaliza gamba lako 2,utakuta limeandikwa UDSM,so wanaUDSM tuna wigo mpana wa kufanya kazi sehemu yoyote ndani na nje ya nchi kwa sababu chuo che2 kipo juu katika ranking za za vyuo vikuu ulimwenguni,kwa hiyo oil sumu hata kama ukiwa MUCE na yule wa main campus hakuna tofauti yoyote mko sawa,kitabu ni kigumu kote kote,
 
Oil sum na man steel yawahusu hii. Nawatafuta saana niny madogo na hao wengne ka niny il nipate japo wakanya kodogo nahc huu muda ntakupaten.
Madogo niny mnasoma education na unaweza kuta za arts yahn hyo taka yako kwa mwenzako n 'taka taka tena' af haitosh unakuja kuanza wadharau wengne ambao unahc umewapta ubora wa chuo na c kua ushawapta maisha. M c frst year ka niny ila inaniuma saana kumdharau m2 ambaye haata umjui haipendez na kuna wenzako ambao wapo jesh na hata wengne wapo ktaa wamekupta mbaaal sana na hawana majivuno so badilka sasa madogo unaweza kuta yule ambaye unahs umempita sasa kesho kakuacha mbal saana nawe unaweza kuta yule ulokupta kesho yupo nyuma yako cc wengne 2nasoma coz ambazo ukienda nchi yoyoote napata kaz hapa dunian bila tatzo cjui eht nan anakujua wala nn ila 2po 2me2lia 2napga michongo na wa2 wa aina zote il maisha yasonge mana hakuna anae jua kesho. Nakuomben hacha majvuno ya kusifia taka zanu hzo amabazo kwa wengne n taka taka mnachefua wenzenu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wewe mcheshi sana hongera kwa hilo as you said kusoma education is lyk trash thats true...mkuu nimesoma PCM shule moja hiv ipo mabibo pale...nimefaulu nimechaguliwa kusomea masomo bora kabisa kama wewe tu...huu mda nilipaswa niwe jkt mlale songea tatizo michongo kama ambavyo wew unayo ndo imenifanya nisiende huko...mda sio mrefu nitakua kwenye chuo bora tu nasikitika kunituhumu ninadharau cjui kama nishawai kukudharau but all in all you are good dude your perception tells.....ila inanisikitisha kwa kuniambia nasoma edu ni matusi sana especially arts umeitukana elimu mkuu itake radhi.
 
Watu wengine hawajielewi,hawa ndo walewale wanapigwa na kung'olewa kucha tunawasikitikia kumbe upuuzi wao na dharau...know that future is always uncertain
 
huna cut point 5.0 ww una 2.0 nimegusa ukwl samahan
kwahyo na kelele zako zooote cku zote kumbe una cut off point ya 5.0 ?
JISHIKILIE ww na sion sababu ya nyie kulumbana shukuruni Mungu mpo chuo na mkakaze buti mengne hayana msingi wala mashiko...
ONYO> mm co 1st year mwenzako staki mabishano na ww
 
Ni haataaa usome wap kuzunguka na vyetii ni pale pale
 
daa kwel guyz mmetisha, dharau za nini kwa mwingine wakati sote n waTZ tena vijana hlf sote 2nalengo la kuvuka hapa 2lipo, thx kwa ushaur wenu mzur
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom