Ni zam ya udom sasa

Status
Not open for further replies.

vice UDOM

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
204
Reaction score
9
jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa UDOM mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october UDOM, I LOVE U UDOM.
 
jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa udom mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october udom, i love u udom.

i love u udsm muce
 
jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa UDOM mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october UDOM, I LOVE U UDOM.

duuu, first year bwana, kweli utawajua, mada zao zile zile
 
jaman msione aibu kusema hadharan kuwa umechaguliwa UDOM mbona mm nimejitokeza!, wakiponde eti cha kata hainitishi,najua maneno ya mkosaji 2, tukotane october UDOM, I LOVE U UDOM.
kumbe umejoin JF leo! ndo mana bado unamawazo hayo, nan kakwambia kuna mtu anakponda UDOM now days, kulikua na wapuuzi wachache tu ambao WAMESHAKUA NA WAMEACHA...
unaenda kchukua course gan
 
tunashukuru kwa uzarendo wako mfano wa kuigwaa huu jamani lazima ujivunie chuo ulichochaguliwa sio kulumbana tu kila siku...kama umepangiwa TEKU jivunie tu.
 
Suaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kila mtu anatakiwa ajivunie alichopata maana maisha yake binafsi hayatasaidiwa na kitu kisicho chakemimi najivunia mifugo mpwapwaaaa hiyo ndugu
 
Acha kujiinua MUCE NI MUCE na UDSM ni UDSM japo ni campus yake ila kam unasoma udsm njoo main campus upge paper kama utaruhusiwa

mwambie ww labda atasikia!udsm ni udsm2 na muce ni muce2!
 
kila mtu anatakiwa ajivunie alichopata maana maisha yake binafsi hayatasaidiwa na kitu kisicho chakemimi najivunia mifugo mpwapwaaaa hiyo ndugu

hiyo mifugo mpwapwaa ni chuo au kituo cha mifugo kama ni chuo kipo under TCU kweli...?
 
kila mtu anatakiwa ajivunie alichopata maana maisha yake binafsi hayatasaidiwa na kitu kisicho chakemimi najivunia mifugo mpwapwaaaa hiyo ndugu

umebahatika DAHP au CAHP mkuu? nayo siku hizi ni hot cake sana. je umepata sponsor?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…