tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Soma pia: Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup...
Shabiki wa Klabu ya Simba aliyejitokeza hapa kwa mkapa anasema maumivu ya kukosa ubingwa na ushindi mbele ya Yanga yamepita na ameshayasahau huku akiahidi msimu huu ni msimu wa mnyama.
Anasema 'kutesa kwa zamu na hii ni zamu ya mnyama kutesa'.