Ni zamu ya Mnyama Simba kutesa, maumivu yameshapita

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Ukweli usemwe Simba hawana kikosi cha ushindi ndani hata kimataifa. Wanapoteza mipira mara kwa mara hawakai na Mpira na wakijaribu kufanya hivyo wapinzani wanaichukua kirahisi mno. Naiona safari ya fadlu September 16
 
Mjomba, maumivu yatarudi kuanzia tarehe 16 na kuendelea. Ni kuanzia kipindi hicho ndipo malalamiko dhidi ya Mwenyekiti Mangungu, GSM kudhamini timu 8 za ligi kuu, baadhi ya wachezaji kuwa ni magarasa; yata tamalaki.
 
Jana kile kiongozi anakimbilia wandishi ahojiwe, wakianza kupigwa Ahmed pekee yake ndio utamuona anahojiwa na waandishi ,yy ndio yupo karibu na anasafiri na timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…