Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kuwa tangu uhuru hajawahi tokea spika wa bunge la muungano kuwa mzanzibar.sasa ni wakati muafaka kwa zanzibar kupewa kit hicho bunge la katiba,
katungwe kautaratibu katakako hakikisha wajumbe wote wanaochuana kwa nafasi hiyo wawe wazanzibar.

Acha kitu tu cha Uspika ambacho atapewa Mh Kificho lakini mimi naitaka zaidi Zanzibar yenye Mamlaka Kamili .
Ni zamu ya wazanzibar kupewa kiti cha uspika bunge la katiba
Unazungumzia bunge la katiba au la bunge la muungano? Katiba inasemaje, kuna zamu za kutoa spika? Huko Zanzibar, Mtanganyika gani amewahi kuwa spika? Acha upuuzikwa kuwa tangu uhuru hajawahi tokea spika wa bunge la muungano kuwa mzanzibar.sasa ni wakati muafaka kwa zanzibar kupewa kit hicho bunge la katiba...
katiba haiongelei zamu na ewe Mzanzibari usipende vya kupewa pewa! Vinang'ata hata kwa mtoto wa kiume! Gombea kiti kile kama wanaume wengine! Mnakera nyie...ndo mana CCM inatupilia mbali serikali tatu maana mtadai na vinginevyo hamtosheki mnapenda vya mdebwedo na dezo!kwa kuwa tangu uhuru hajawahi tokea spika wa bunge la muungano kuwa mzanzibar.sasa ni wakati muafaka kwa zanzibar kupewa kit hicho bunge la katiba,
katungwe kautaratibu katakako hakikisha wajumbe wote wanaochuana kwa nafasi hiyo wawe wazanzibar.
Chetu chenu na chenu chenu wenyewe... kwendeni zenu....kwa kuwa tangu uhuru hajawahi tokea spika wa bunge la muungano kuwa mzanzibar.sasa ni wakati muafaka kwa zanzibar kupewa kit hicho bunge la katiba,
katungwe kautaratibu katakako hakikisha wajumbe wote wanaochuana kwa nafasi hiyo wawe wazanzibar.
Huyu jama kanywa UROJO mpaka KAVIMBIWA KALEWA..... SPIKA atoke ZAA NZI BALAA? huu sasa ni wendawaziu mkubwa sana. tuachen masikhara katika mambo ya maana zile mada za kwenye vijiwe pale MCHAMBA WIMA au MWANAKWEREKWE tuachaneni nazo, turudi kujadili mambo ya maana sasa. aaalaaahhh.
safari hii ni zamu ya kanda ya kaskazini kutoa rais wa tz.tangu uhuru tumetoa wagombea wengi tu lakini mmewatosa.
Hoja yako ni nyepesi na inaweza kupuuzwa kirahisi tu.kwa kuwa tangu uhuru hajawahi tokea spika wa bunge la muungano kuwa mzanzibar.sasa ni wakati muafaka kwa zanzibar kupewa kit hicho bunge la katiba,
katungwe kautaratibu katakako hakikisha wajumbe wote wanaochuana kwa nafasi hiyo wawe wazanzibar.
Bunge la Katiba sio
sawa na Kijiwe cha Ghahawa pale Kibanda-Maiti au sio sawa na mkusanyiko
wa kuchukua Tende,Haluwa au Urojo pale Mwanakwerekwe,bali Bunge la
Katiba linahitaji Mtu
mweledi,busara,msimamo,mkomavu,mstahmilivu,mstaarabu,hekima na anaejua
nini cha kufanya kwa muda na wakati muafaka,na watu wa pande hizo
mnakosa hizi sifa.