Ni zao gani linafaa mwinuko wa m 1200?

Tangantika

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
5,586
Reaction score
7,087
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Wataalamu wa kilimo huo mwinuko ni rafiki wa mazao gani?
Mwinuko huo mnau weka katika kundi lipi low land au highland.
Lengo langu ni mazao yafuatayo
1. Mahindi
2. Viazi aina yote
3. Matunda kama avokado,miembe, furisi, matunda damu, papai, limao chungwa. Tope tope kubwa nk
4.Miti ya mbao mitiki na milingoti
5.bustani kama karoti, hoho, vitunguu,
6.Mihogo, magimbi, viazi vyote.
7.Ndizi matoke, malindi na bukoba.
8. Karang na kweme
Nataka nifanye Adam Galden of Eden,
Nipande kila kitu kinachostawi hapo, bila kusahau maua.
Nataka niwe navuna kila wiki.
Ardhi ina fan flower, Miyombo na nyasi refu.
Ni virgin land yenye udongo mweusi juu na mwekundu chini.
Nipeni mwongozo.
Hizi ndio mbegu za kweme na topetope kwa ajili ya kuzipeleka shamba
 
Hapo ni uchaguzi wako tuu maana karibia yote uliyotaja yanastawi kwenye hayo mazingira
 
Shamba lipo mkoa gani?
 
1400 ni highland na naona umeorodhesha traditional crops tupu,mazao ya urithi.Waza kulima vitu kama Apple,Vitu kama spice na Herbals, matunda kama ovacado, Fig,vitu kama Vegitable.Tupunguze traditional crops,
 
Shamba lipo mkoa gani?
Matunda kama Machungwa yanataka full time jua,na yana pendelea maeneo yenye jua kari sana ,Ukanda wa pwani unabakia kuwa choice number 1 kwa matunda kama machungwa, kama machungwa au nanasi
 
Matunda kama blackberries,Blueberies,Rasberies,strawberies, Plumus,Aprcot na kadhalika.

Matunda ya miinuko hio na pia matunda ghari sokoni
 
1400 ni highland na naona umeorodhesha traditional crops tupu,mazao ya urithi.Waza kulima vitu kama Apple,Vitu kama spice na Herbals, matunda kama ovacado, Fig,vitu kama Vegitable.Tupunguze traditional crops,
Hivi kuna mahali wanakolima apple Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…