Busara za mzee
Member
- Jun 11, 2023
- 36
- 25
Nataka kununua hii gari Kwa mtu used. Imewekewa injini ya rav 4. Naomba ushauri Changamoto ya hizi gari na hasa baada ya kuwekewa injini ya rav 4.
Upatikanaji wa spare, Changamoto zake n.k
Upatikanaji wa spare, Changamoto zake n.k