Ni zipi dalili za mtu aliyelewa madaraka?

Ni zipi dalili za mtu aliyelewa madaraka?

1. Maamuzi yake yanakua ya mwisho, (hajali raia wanasema nini)
2. Marufuku kukosoa
3. Kutoa kauli za maudhi kwa wanaolalamika
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10. Anapenda kusifiwa sana, yani ukimsifia hata kama kafanya vibaya basi utapewa hata cheo
 
 
Anaesema "Tozo ni maamuzi ya wananchi..." ilihali hakuna hata mwananchi mmoja alioalikwa kwenye kikao cha kupitisha sheria tozo.
 
Back
Top Bottom