Thread ifungwe.Mahari inasimama kama alama ya shukrani kutoka kwa familia inayooa kwenda kwa familia ya muolewaji....na sio biashara kama inavyotaka kutafsirika na Wana harakati za usawa ....ni mkono wa pongezi kwa wazaa chema ....
Kupika hakuhusiani na mahari.....uzoefu katika mapishi inategemea na utamaduni wa Binti husika kulingana mtindo wao wa maisha.....ukimhukumu mmasai kwa upishi mbovu wa wali au chapati utakuwa umemuonea hata kama umetoa mahari ng'ombe 500......Mahari milioni mbili halafu mtu anakupikia chapati ngumu kuliko maisha yako....Mahari zifutwe.
Mume sio chema? Nisababu zipi za msingi zinazuia wazazi wamume wasipewe shukurani na wapewe wa mke tu.Mahari inasimama kama alama ya shukrani kutoka kwa familia inayooa kwenda kwa familia ya muolewaji....na sio biashara kama inavyotaka kutafsirika na Wana harakati za usawa ....ni mkono wa pongezi kwa wazaa chema ....
Kupika hakuhusiani na mahari.....uzoefu katika mapishi inategemea na utamaduni wa Binti husika kulingana mtindo wao wa maisha.....ukimhukumu mmasai kwa upishi mbovu wa wali au chapati utakuwa umemuonea hata kama umetoa mahari ng'ombe 500......Mahari milioni mbili halafu mtu anakupikia chapati ngumu kuliko maisha yako....Mahari zifutwe.
Kiwango na utaratibu wa mahari vinatofautiana kutoka jamii moja mpaka jamii nyingine......kama hiyo jamii ina utaratibu wa kumpa mwenye binti shukrani pasi na chochote ni sehemu ya mila zao na wanafurahia kufanya hivyo.....Mume sio chema? Nisababu zipi za msingi zinazuia wazazi wamume wasipewe shukurani na wapewe wa mke tu.
Nyumba ya kuishi au pahala salama pa kuishi...??Mahari ni heshima
Ni kutengeneza kutambulika na kujipendekeza kwa muoaji.
Ila ni ujinga kutoa mahari zaidi ya laki 5 kwa miaka hii hasa kwa kijana muoaji ambae hana hata nyumba yake mwenyewe ya kuishi
Heshima tu kwa mtoto wa kike
Asante mkuu, nahisi kama vijana wa sasa tunasombwa tu na huo utaratibu, kama wapo wanaofurahia kutoa mahari kwa sababu ni mila zao niwachache sana.Kupika hakuhusiani na mahari.....uzoefu katika mapishi inategemea na utamaduni wa Binti husika kulingana mtindo wao wa maisha.....ukimhukumu mmasai kwa upishi mbovu wa wali au chapati utakuwa umemuonea hata kama umetoa mahari ng'ombe 500......
Kiwango na utaratibu wa mahari vinatofautiana kutoka jamii moja mpaka jamii nyingine......kama hiyo jamii ina utaratibu wa kumpa mwenye binti shukrani pasi na chochote ni sehemu ya mila zao na wanafurahia kufanya hivyo.....
Habari za jioni wapendwa katika bwana.
Jamii nyingi za kiafrika wanao utaratibu wa mwanaume kutoa mahari ili aweze kumuoa binti.
Baadhi ya watu husema mahari ni kama shukurani kwa wazazi wa mke, je hawa wazazi wamume ambao wamezaa kichwa cha familia mbona hawapewi shukurani?
Naomba kuelimishwa mahari ninayotoa inamsaada gani kwangu, Mkewangu na watoto.
Kulingana na ugumu wa maisha haswa bara la Africa kuna haja ya kuendelea na huu utaratibu?
Unachokihitaji wewe muoleaji.?Inategemea na jamii, Mimi kwetu mahari ni kitu chochote ninachokihitaji Sio lazima fedha.
NdioUnachokihitaji wewe muoleaji.?