Ili tuweze kupambana na viongozi wabovu, ni vizuri kila raia wa Tanzania azijue haki zake kikatiba na pia ajue wajibu wa kiongozi anayemchagua kumwongoza kikatiba.
Wanachi wakijua haki zao na wajibu wa kiongozi kwa wananchi, watakuwa na haki ya kumuuliza kiongozi ni mambo gani ajayatimiza kwao na pia watakuwa na haki kikatiba kumkataa kma atakuwa ajatimizi wajibu wake kwao