Ni zipi sababu za Akaunti ya Bank Kuzuiliwa?

A.MTALE

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
43
Reaction score
18
Habari wakuu!!

Naomba kufahamishwa ni zipi sababu za Akaunti ya bank kuzuiliwa kuhamisha pesa.

Ukijaribu ujumbe unakuwa

"Hauruhuziwi kuhamisha fedha kwenye akaunti hii"

Ukiwapigia Customer Service wanakwambia akaunti imezuiliwa na Tawi lako, nenda kwenye tawi hilo.
Sasa mimi ni miaka mingi sipo mkoa huo na kwasasa nipo mbali sana kutoka mkoa huo.

Ahsanteni.
 
Ndio uendee mkuuu utaelewa hapa watakudanganya fyuuu usisjipenmoyo.mzigo hautoki kama hujakanyaga pale

Kama unajua pesa za mazabe wakaushie wapite nnazooo kesi yake n hujumu michuuuu
 
Masuala yako ya kikodi yapo sawa? TRA ndo wenye access hiyo ya kutoa maelekezo acc izuiwe. Otherwise ni masuala mengine ya ndani ya bank kama kuapdate taarifa n.k
Zipo sababu nyingi sana ambazo zinaweza kusababisha Akaunti ya Benki kuwa Blocked na Bankers wako.

Aidha, pia zipo Taasisi au Mamlaka nyingi sana za kiSerikali ambazo zinaweza kuwa na Access na Akaunti yako ya Benki.
Mathalani, Mamlaka za Upelelezi au Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kama vile Jeshi la Polisi, Mamlaka za Intelijensia ya Fedha (Financial Intelligence Units, FIU), Mamlaka za Udhibiti wa Mapato e.g. TRA, Benki Kuu, Mamlaka za Ujasusi, n.k.
 
Habari wakuu!!

Naomba kufahamishwa ni zipi sababu za Akaunti ya bank kuzuiliwa kuhamisha pesa.

Ukijaribu ujumbe unakuwa

"Hauruhuziwi kuhamisha fedha kwenye akaunti hii"

Ukiwapigia Customer Service wanakwambia akaunti imezuiliwa na Tawi lako, nenda kwenye tawi hilo.
Sasa mimi ni miaka mingi sipo mkoa huo na kwasasa nipo mbali sana kutoka mkoa huo.

Ahsanteni.
Nenda kaupdate taarifa zako ni kawaida hiyo ikiwa hujafanya update kwa muda mrefu
 
Ndio uendee mkuuu utaelewa hapa watakudanganya fyuuu usisjipenmoyo.mzigo hautoki kama hujakanyaga pale

Kama unajua pesa za mazabe wakaushie wapite nnazooo kesi yake n hujumu michuuuu
Hapana haijawahi kutokea Muamala wa aina hiyo. AKAUNTI SAFI KABISA NA HALALI KWA KILA MUAMALA
 
Back
Top Bottom