Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuSisi tunaongelea mambo yetu watanzania, wewe Mrundi hayakuhusu.
Ahsante sana mkuu. Hapa umemaliza mjadala kwa kushusha nondo zilizoenda shule.Zipo sababu nyingi sana ambazo zinaweza kusababisha Akaunti ya Benki kuwa Blocked na Bankers wako.
Aidha, pia zipo Taasisi au Mamlaka nyingi sana za kiSerikali ambazo zinaweza kuwa na Access na Akaunti yako ya Benki.
Mathalani, Mamlaka za Upelelezi au Mamlaka za Usimamizi wa Sheria kama vile Jeshi la Polisi, Mamlaka za Intelijensia ya Fedha (Financial Intelligence Units, FIU), Mamlaka za Udhibiti wa Mapato e.g. TRA, Benki Kuu, n.k.
Basi itakuwa ni kuhakiki tuu, relaxKuweka na ilikuwa tarehe 31 January 2025
OK mkuu.Sona shida kwenye kodi
KYCHabari wakuu!!
Naomba kufahamishwa ni zipi sababu za Akaunti ya bank kuzuiliwa kuhamisha pesa.
Ukijaribu ujumbe unakuwa
"Hauruhuziwi kuhamisha fedha kwenye akaunti hii"
Ukiwapigia Customer Service wanakwambia akaunti imezuiliwa na Tawi lako, nenda kwenye tawi hilo.
Sasa mimi ni miaka mingi sipo mkoa huo na kwasasa nipo mbali sana kutoka mkoa huo.
Ahsanteni.