Ndio uendee mkuuu utaelewa hapa watakudanganya fyuuu usisjipenmoyo.mzigo hautoki kama hujakanyaga paleHabari wakuu!!
Naomba kufahamishwa ni zipi sababu za Akaunti ya bank kuzuiliwa kuhamisha pesa.
Ukijaribu ujumbe unakuwa
"Hauruhuziwi kuhamisha fedha kwenye akaunti hii"
Ukiwapigia Customer Service wanakwambia akaunti imezuiliwa na Tawi lako, nenda kwenye tawi hilo.
Sasa mimi ni miaka mingi sipo mkoa huo na kwasasa nipo mbali sana kutoka mkoa huo.
Ahsanteni.
Habari wakuu!!

Zipo sababu nyingi sana ambazo zinaweza kusababisha Akaunti ya Benki kuwa Blocked na Bankers wako.Masuala yako ya kikodi yapo sawa? TRA ndo wenye access hiyo ya kutoa maelekezo acc izuiwe. Otherwise ni masuala mengine ya ndani ya bank kama kuapdate taarifa n.k
Nenda kaupdate taarifa zako ni kawaida hiyo ikiwa hujafanya update kwa muda mrefuHabari wakuu!!
Naomba kufahamishwa ni zipi sababu za Akaunti ya bank kuzuiliwa kuhamisha pesa.
Ukijaribu ujumbe unakuwa
"Hauruhuziwi kuhamisha fedha kwenye akaunti hii"
Ukiwapigia Customer Service wanakwambia akaunti imezuiliwa na Tawi lako, nenda kwenye tawi hilo.
Sasa mimi ni miaka mingi sipo mkoa huo na kwasasa nipo mbali sana kutoka mkoa huo.
Ahsanteni.
Transaction yako ya mwisho ulitoa au uliweka fedha kwa account yako?Almost 1month tu
Hapana haijawahi kutokea Muamala wa aina hiyo. AKAUNTI SAFI KABISA NA HALALI KWA KILA MUAMALANdio uendee mkuuu utaelewa hapa watakudanganya fyuuu usisjipenmoyo.mzigo hautoki kama hujakanyaga pale
Kama unajua pesa za mazabe wakaushie wapite nnazooo kesi yake n hujumu michuuuu
Yeah exactly itakuwa ni ku update taarifa zakeNenda kaupdate taarifa zako ni kawaida hiyo ikiwa hujafanya update kwa muda mrefu
Kwani utajua?Hapana haojawahi kuwa ni hiyo transaction ya aina hiyo kabisaaa