Ni zipi sababu za Akaunti ya Bank Kuzuiliwa?

Ahsante sana mkuu. Hapa umemaliza mjadala kwa kushusha nondo zilizoenda shule.
 
Yaah kila akaunti ina kikomo cha pesa kuna common, standard, prestige, na premium sasa hapo inafatana uko kundi gani na pesa ikiingizwa kama ulikuwa daraja la chini ili ukaitoe unatakiwa kujaza fomu ili waupdate kiwango cha pesa inayotakiwa kusoma kwa akaunti n.k na wajue pesa imetoka wapi na ni ya kazi gani na kwanini imewekwa kwenye akaunti yako
 
KYC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…