Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Lengo ni kujua na kujifunza tu, kama unafahamu sababu eleza mkuuHata ungekuta sio kokoto zinatumika bado ungeulizia ambacho kingekuwepo
Mimi ni mshamba namba moja katika hili, ila naamini humu wapo wanaojuaEbu uliza hili swali gugo... au unatafuta washamba nn??
Sawa mkuuLengo ni kujua na kujifunza tu, kama unafahamu sababu eleza mkuu
Safi kabisa mkuu, nadhani hiyo ni sababu mojawapo. Ipo sababu nyingine zaidi ya hiyo?Zinawekwa ili kushikilia reli; kunyonya na kupupunguza mtetemo pamoja na kelele zitokanazo na msuguano kati ya reli yenyewe na magurudumu ya treni wakati treni ipitapo.
Kwani vikiota vinaweza leta madhara gani?Kuzuia majani na miti visiote.
Sasa hapo ulitaka wepige zege mataruma au waweke udongo au lami? Fikiri kidogoHabari za wakati huu wanajukwaa
Naomba mnitoe ushamba na mtujuze kwa wale wanao hatufaham ni sababu zipi za kiufundi hupelekea matumizi ya kokoto katika ujenzi wa njia za reli.
View attachment 3036554
Nimefikiri na sijapata majibu sahihi, kama unafahamu sababu nielezeSasa hapo ulitaka wepige zege mataruma au waweke udongo au lami? Fikiri kidogo
Haya kwasababu umeomba na kuwa myenyekevu basi jibu lake ni hili:Nimefikiri na sijapata majibu sahihi, kama unafahamu sababu nieleze
Mkuu, kwanza nilikuwa sifahamu kama inaitwa β track ballast" Nashukuru kwa kunijuza.Haya kwasababu umeomba na kuwa myenyekevu basi jibu lake ni hili:
Kokoto unazoziona kwenye reli zinajulikana kama "track ballast". Zinatumika kwa madhumuni kadhaa muhimu:
1. Utulivu: Ballast husaidia kuweka reli mahali pake, kuhakikisha inabaki sawa na imara wakati treni zinapopita.
2. Maji: Inaruhusu maji kutiririka mbali na reli, kuzuia mkusanyiko wa maji ambao unaweza kudhoofisha muundo wa reli.
3. Udhibiti wa Mimea: Ballast husaidia kuzuia ukuaji wa mimea karibu na reli, ambayo inaweza kuvuruga utulivu wa reli.
4. Usambazaji wa Mzigo: Inasaidia kusambaza mzigo kutoka kwa treni kwa usawa kwenye ardhi, kupunguza mkazo kwenye udongo wa chini.
Kwa kutumia mawe yenye ncha kali, ballast inabaki mahali pake na kutoa msaada unaohitajika na kubadilika kwa reli.
π³Kwani vikiota vinaweza leta madhara gani?
ππ³
Ni hizo mbili tu. Kubwa zaidi ikiwa kupunguza kale ka-kelele ka vyuma kusuguana, gurudumu na reli.Safi kabisa mkuu, nadhani hiyo ni sababu mojawapo. Ipo sababu nyingine zaidi ya hiyo?