Ni zipi sababu za ujauzito kutoka?

Ni zipi sababu za ujauzito kutoka?

mkono wa nyoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
334
Reaction score
54
Habari wakuu mimi ni kijana wa miaka 24 .

Mke wangu alikuwa na ujauzito wake wa kwanza mwezi wa tisa sasa yeye ni mwalimu baada ya miezi miwili akanza kuingia siku zake sasa hapo ndio kwenda hospital wakasema mimba imeharibika.

Napenda kujua sababu inayosababiasha kuanza kubleede ilihali una mimba MziziMkavu.

Nashukuru.
 
habar wakuu mm ni kijana wa miaka 24 .mke wangu alikuwa na ujauzito wake wa kwanza mwez wa tisa sasa yeye ni mwalimu baada ya miez miwili akanza kuingia siku zake sasa hapo ndio kwenda hospital wakasema mimba imeharibika napenda kujua sababu inayosababiasha kuanza kubleede ilihali una mimba MziziMkavu nashukuru

mimba ilitoka au anableed wakati ana mimba?? toa maelezo yanayojitosheleza maana ku bleed wakati ana mimba siyo kigezo kikuu cha kwamba mimba imetoka.

inaweza kuwa threatened abortion
 
Last edited by a moderator:
chakii yaan bleed ilianza na baadae kwenda hospitali wakamtibu na kumchoma sindano fulan baada ya muda akaenda kukojoa akatoa mabonge kibao
 
Last edited by a moderator:
chakii yaan bleed ilianza na baadae kwenda hospitali wakamtibu na kumchoma sindano fulan baada ya muda akaenda kukojoa akatoa mabonge kibao

ok, haya maelezo ulitakiwa uyaweke toka awali.

huyo ndugu yako walimfanyia induction kwa kutumia sindano ya oxytocin then wakamfanyia hiyo evacuation kuondoa huo uchafu uliobakia.

naamini walimpatia antibiotics za kumsaidia kuepuka infections.
 
Last edited by a moderator:
yap madawa walimpa yakutumia kwan yalimsaidia sana mpaka akawa tofaut mfano mara ya kwanza alikuwa hisia za mapenz hana ila baada ya hapo akawa vizur
 
kwasasa hakuna ila kabla ya kutafuta mimba nyingne anataka twende sartanian clinic unatoa 25000 wanakupima mwili mzma wanakuangalia kama unatatzo sehemu
 
Back
Top Bottom