mkono wa nyoka
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 334
- 54
habar wakuu mm ni kijana wa miaka 24 .mke wangu alikuwa na ujauzito wake wa kwanza mwez wa tisa sasa yeye ni mwalimu baada ya miez miwili akanza kuingia siku zake sasa hapo ndio kwenda hospital wakasema mimba imeharibika napenda kujua sababu inayosababiasha kuanza kubleede ilihali una mimba MziziMkavu nashukuru
chakii yaan bleed ilianza na baadae kwenda hospitali wakamtibu na kumchoma sindano fulan baada ya muda akaenda kukojoa akatoa mabonge kibao
yap madawa walimpa yakutumia kwan yalimsaidia sana mpaka akawa tofaut mfano mara ya kwanza alikuwa hisia za mapenz hana ila baada ya hapo akawa vizur