Ni zipi stahiki (malipo) za mtumishi wa serikali anapohamishwa kikazi toka kituo kimoja kwenda kingine ndani ya halmashauri moja

Ni zipi stahiki (malipo) za mtumishi wa serikali anapohamishwa kikazi toka kituo kimoja kwenda kingine ndani ya halmashauri moja

famicho

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
2,191
Reaction score
2,857
Habari za masiku wanajukwaa.

Nina rafiki yangu amepokea barua ya uhamisho kwenda kituo kingine ndani ya halmashauri umbali wa kilomita 90+

Katika kufatilia stahiki za uhamisho ameambiwa aandike barua ya kuomba malipo. Bahati mbaya ni uhamisho wake wa Kwanza hivyo hawafamu ni vitu gani na rates zipi huwa vinaangaliwa katika malipo hayo.

Naomba kuwasilisha kwenu kwa msaada zaidi, jamaa ana mke na mtoto mmoja.
 
Aende kuripoti kituo kipya, asaini.

Halafu aende kwa mwajiri wake, adai stahiki zake zote zinazohusiana na uhamisho huu. Na kama hawawezi kumlipa kwa wakati, aombe kuendelea kubaki ktk kituo cha awali (mpaka alipwe).

Akijichanganya akaripoti na kuanza kazi kwa kituo kipya, atamaliza soli na stahiki zake hazitolipwa kwa wakati.

Apambane.
 
uwe una google.mbona mambo mengine yapo tu mtandaoni
Kwa uelewa wangu kwa mujibu wa sheria za utumishi kituo cha kazi ni wilaya
ukiwa umeajriwa na Ded flani kama lets say mwalimu na ukapangiwa ukafundishe shule flani wewe kiutumishi kituo chako cha kazi ni Ded flani kwa mantiki hiyo huyo mtu hajahamishwa kituo cha kazi na hastahili malipo ya uhamisho .

Back
Top Bottom