The Teacher Senior Member Joined Feb 2, 2013 Posts 176 Reaction score 81 Jul 11, 2015 #1 Jamani mwenye kujua taratibu za kuwa wakala wa bima. eneo nilipo kuna bodaboda nyingi sana na kla kukicha zinanunuliwa wakitaka kukatia bima vyombo vyao basi ni lazima mtu aende mjini. Mwenye kujua taratibu jamani please help me nitumie hiyo fursa.
Jamani mwenye kujua taratibu za kuwa wakala wa bima. eneo nilipo kuna bodaboda nyingi sana na kla kukicha zinanunuliwa wakitaka kukatia bima vyombo vyao basi ni lazima mtu aende mjini. Mwenye kujua taratibu jamani please help me nitumie hiyo fursa.