Ni zipi taratibu za kuwa Wakala wa Bima?

Ni zipi taratibu za kuwa Wakala wa Bima?

The Teacher

Senior Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
176
Reaction score
81
Jamani mwenye kujua taratibu za kuwa wakala wa bima. eneo nilipo kuna bodaboda nyingi sana na kla kukicha zinanunuliwa wakitaka kukatia bima vyombo vyao basi ni lazima mtu aende mjini.

Mwenye kujua taratibu jamani please help me nitumie hiyo fursa.
 
Back
Top Bottom