Nia Ipo Lakini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Moyo Hautaki Kabisa Mimi Leo Kuishangilia Timu Ya Yanga FC Katika Mtanange Wao Wa Jioni Dhidi Ya Platinumz FC Ya Nchini Zimbabwe. Naombeni Mniambie Nifanyeje? Nina Hamu Mno Leo Kuondoa Unazi Na Kuishangilia Gongo Wazi Yanga Taifa Lakini Moyo Wangu Hautaki Kabisa Tena Katu Katu.

Nawatakieni Kila La Kheri Yanga Ktk Safari Yenu Ya Kutolewa Mashindanoni Kombe La Shirikisho Ambayo Inaanza Leo Kwa Kuchimbiwa Kaburi Hapa Dar es Salaam Tanzania Na Kwenda Kuzikiwa Kabisa Jijini Harare Zimbabwe Baada Ya Wiki Mbili Zijazo! Sasa MNYAMA Tunakimbiza Mwizi KIMYA KIMYA.
 
Hawa ni wetu na hututoki mapema kwenye mashindano. Nyie subirini tena kombe lenu la mtani jembe mwakani
 
Hebu jitoe ufahamu ufanye ni kama vile timu yako unayoipenda ndiyo inayocheza.Kuwa mzalendo kwa leo
 
Mzalendo? Wakati matokeo yanajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…