GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Moyo Hautaki Kabisa Mimi Leo Kuishangilia Timu Ya Yanga FC Katika Mtanange Wao Wa Jioni Dhidi Ya Platinumz FC Ya Nchini Zimbabwe. Naombeni Mniambie Nifanyeje? Nina Hamu Mno Leo Kuondoa Unazi Na Kuishangilia Gongo Wazi Yanga Taifa Lakini Moyo Wangu Hautaki Kabisa Tena Katu Katu.
Nawatakieni Kila La Kheri Yanga Ktk Safari Yenu Ya Kutolewa Mashindanoni Kombe La Shirikisho Ambayo Inaanza Leo Kwa Kuchimbiwa Kaburi Hapa Dar es Salaam Tanzania Na Kwenda Kuzikiwa Kabisa Jijini Harare Zimbabwe Baada Ya Wiki Mbili Zijazo! Sasa MNYAMA Tunakimbiza Mwizi KIMYA KIMYA.