Heshima kwenu nyote wana jamii forum. Nimekuwa nikifuatilia matakwa na makusudio ya rais Trump toka aingie madarakani, matamanio yake yamekuwa yakiniachia maswali ya kujiuliza pamoja na kwamba hata walengwa wake wamekuwa wakimtolea nje.
Mfano alianza na kutaka kuinunua Gaza,ikafuatiwa na kutaka madini ya Ukrein na sasa analenga kuchukua madini ya DRC kwa kuingia nao mkataba kama ule wa Ukrein.
Karibuni tuelimishane kwa kina zaidi.
Mfano alianza na kutaka kuinunua Gaza,ikafuatiwa na kutaka madini ya Ukrein na sasa analenga kuchukua madini ya DRC kwa kuingia nao mkataba kama ule wa Ukrein.
Karibuni tuelimishane kwa kina zaidi.