Nia na madhumuni ya rais Trump ni yapi hasa?

Nia na madhumuni ya rais Trump ni yapi hasa?

nayeye hamuiti PM anamuita GavanašŸ˜‚ anataka kuifanya Canada iwe jimbo la 51 la yuesi
Trump ana madharau sana sasa hiyo ni Canada siku akituvalia junga sisi wadunia ya tatu wala hatauliza mtu.
 
Trump ni Populist na egomaniac.., na chakula anachoserve ni kwa raia wa USA ambao walimpigia KURA (Make America Great Again) vilevile yeye na oligarchs wengine kujipatia Pesa za madili ya hapa na pale...

Hivyo chochote anachosema kiwe kweli, uongo, kinawezekana au hakiwezekani au hata kama ni detrimental kwa USA ya kesho yeye hajali yeye anachojali ni now (jinsi ya ku make news) na watu wake kuona kwamba ni mbabe...
Na inaonekana waliomzunguuka wote ni watu wa ndio mzee.
 
Na inaonekana waliomzunguuka wote ni watu wa ndio mzee.
Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa..., wanaelewa wakiwa chawa wake Tender za hapa na pale na Tax Breaks za kufa mtu wanaweza kuzipata...; Chawa hawa Marekani wanaishi sio Afrika pekee...
 
Nasikia Amerika ndio walioitengeneza ila kilichomwuzi Trump nikuona Mchina ndio anafaidika nayo sana kuliko USA.
Trump lakini hamuwezi mchina maana china wapo kila sehemu kibiashara na yeye yupo kila sehemu kivita na majeshi

Mchina anamfanya Trump asilale šŸ˜„
Mwaka 1881 france ndio wqlianzisha mradi huo wa Panama Canal
1889 wafaransa wakafeli wakashindwa kuuendeleza ndio US mwaka 1904 wakaendeleza ujenzi mpaka kwisha mwaka 1914
Sasa Trump anaitaka hata kwa vita
 
Trump kaja kibabe sana term hii na ukizingatia kuwa hii ni term yake ya pili na ya mwisho hana cha kuhofia.
 
Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa..., wanaelewa wakiwa chawa wake Tender za hapa na pale na Tax Breaks za kufa mtu wanaweza kuzipata...; Chawa hawa Marekani wanaishi sio Afrika pekee...
Na wakiwa Chawa wanakuwa Chawa kweli kweli šŸ˜€
 
Pia kuichukua Greenland na mfereji wa Panama kwa ajili ya kumkomoa Mchina 😳
Safi urusi,China na washirika wao wanabariki uvamizi wa Urusi nchini Ukreine basi wacha Us nae ajimegee ndivyo dunia ilipofikia.
 
Trump anatafuta fursa, kila akiona opportunity tu anajaribu
Sasa kaona Tesla imeshuka sana anatamani kuinunua
Kweli mzee anaangalia pale padhaifu tu
Tesla si ya mshikaji wake na mshauri wake mkuu wa masuala ya biashara na uchumi kwa jumla 😳
 
Heshima kwenu nyote wana jamii forum. Nimekuwa nikifuatilia matakwa na makusudio ya rais Trump toka aingie madarakani, matamanio yake yamekuwa yakiniachia maswali ya kujiuliza pamoja na kwamba hata walengwa wake wamekuwa wakimtolea nje.
Mfano alianza na kutaka kuinunua Gaza,ikafuatiwa na kutaka madini ya Ukrein na sasa analenga kuchukua madini ya DRC kwa kuingia nao mkataba kama ule wa Ukrein.
Karibuni tuelimishane kwa kina zaidi.
Lengo lake Ni MAGA make Amerika great again.Maana yake nyorosha Bongo lala wote neemesha Amerika na Waamerika.
 
Tesla si ya mshikaji wake na mshauri wake mkuu wa masuala ya biashara na uchumi kwa jumla 😳
Nisamehe bure niliona habari ya haraka haraka kuwa Trump anunua Tesla
Kumbe kanunua moja kumsapoti mshkaji šŸ¤”
 
Back
Top Bottom