Nia na madhumuni ya rais Trump ni yapi hasa?

nayeye hamuiti PM anamuita Gavana😂 anataka kuifanya Canada iwe jimbo la 51 la yuesi
Trump ana madharau sana sasa hiyo ni Canada siku akituvalia junga sisi wadunia ya tatu wala hatauliza mtu.
 
Na inaonekana waliomzunguuka wote ni watu wa ndio mzee.
 
Na inaonekana waliomzunguuka wote ni watu wa ndio mzee.
Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa..., wanaelewa wakiwa chawa wake Tender za hapa na pale na Tax Breaks za kufa mtu wanaweza kuzipata...; Chawa hawa Marekani wanaishi sio Afrika pekee...
 
Nasikia Amerika ndio walioitengeneza ila kilichomwuzi Trump nikuona Mchina ndio anafaidika nayo sana kuliko USA.
Trump lakini hamuwezi mchina maana china wapo kila sehemu kibiashara na yeye yupo kila sehemu kivita na majeshi

Mchina anamfanya Trump asilale 😄
Mwaka 1881 france ndio wqlianzisha mradi huo wa Panama Canal
1889 wafaransa wakafeli wakashindwa kuuendeleza ndio US mwaka 1904 wakaendeleza ujenzi mpaka kwisha mwaka 1914
Sasa Trump anaitaka hata kwa vita
 
Trump kaja kibabe sana term hii na ukizingatia kuwa hii ni term yake ya pili na ya mwisho hana cha kuhofia.
 
Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa..., wanaelewa wakiwa chawa wake Tender za hapa na pale na Tax Breaks za kufa mtu wanaweza kuzipata...; Chawa hawa Marekani wanaishi sio Afrika pekee...
Na wakiwa Chawa wanakuwa Chawa kweli kweli 😀
 
Pia kuichukua Greenland na mfereji wa Panama kwa ajili ya kumkomoa Mchina 😳
Safi urusi,China na washirika wao wanabariki uvamizi wa Urusi nchini Ukreine basi wacha Us nae ajimegee ndivyo dunia ilipofikia.
 
Trump kaja kibabe sana term hii na ukizingatia kuwa hii ni term yake ya pili na ya mwisho hana cha kuhofia.
Trump anatafuta fursa, kila akiona opportunity tu anajaribu
Sasa kaona Tesla imeshuka sana anatamani kuinunua
Kweli mzee anaangalia pale padhaifu tu
 
Trump anatafuta fursa, kila akiona opportunity tu anajaribu
Sasa kaona Tesla imeshuka sana anatamani kuinunua
Kweli mzee anaangalia pale padhaifu tu
Tesla si ya mshikaji wake na mshauri wake mkuu wa masuala ya biashara na uchumi kwa jumla 😳
 
Lengo lake Ni MAGA make Amerika great again.Maana yake nyorosha Bongo lala wote neemesha Amerika na Waamerika.
 
Tesla si ya mshikaji wake na mshauri wake mkuu wa masuala ya biashara na uchumi kwa jumla 😳
Nisamehe bure niliona habari ya haraka haraka kuwa Trump anunua Tesla
Kumbe kanunua moja kumsapoti mshkaji 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…