Kuna watu wanajifanya wanapigania haki na demokrasia lakini hapohapo wanataka utawala wa kijeshi.Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi.
3-Kujidai kuwa haogopi kuvisema vyombo vya dola
hii ni hadaa yente uhaini ndani yake.
Neno “uhaini” mmeanza kulichukulia poa these last 5 years. Hivi mnaelewa maana ya uhaini nyie?Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
3-Kujidai kuwa haogopi kuvisema vyombo vya dola
hii ni hadaa yente uhaini ndani yake.
Wewe ndo mkalimani wa Gwajima??.Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi.
3-Kujidai kuwa haogopi kuvisema vyombo vya dola
hii ni hadaa yente uhaini ndani yake.
Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi.
3-Kujidai kuwa haogopi kuvisema vyombo vya dola
hii ni hadaa yente uhaini ndani yake.
DuuuhWewe unajuaje kama yeye siyo "member' wa hivyo vyombo? Badala ya kuchukulia kama hadaa linaweza kuwa onyo, au tahadhali kabla ya hatari.
Power aliyonayo rais hazaliwi nayo, anayo mamlaka as long as watu wameamua kumpa hayo mamlaka na kumtii. Wanao uwezo wa kumkwida na kumweka mtu kati. Kisha ikatoka barua kuwa ameng'atuka na hakuna anachoweza kufanya.
Una akili ndogo sana sana wewe na ni kiazi haswaa! Taifa lina watu wenye ujinga sana sana na wengi ni wafuasi wa CCM sijui kuna shida gani huko CCMUkisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi.
3-Kujidai kuwa haogopi kuvisema vyombo vya dola
hii ni hadaa yente uhaini ndani yake.
Sasa unatuuliza sisi funaku ili iweje.. Jibuni hoja zake kwanzaUkisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi.
3-Kujidai kuwa haogopi kuvisema vyombo vya dola
hii ni hadaa yente uhaini ndani yake.
Hiyo ndio think tank ya chama chawalaUna akili ndogo sana sana wewe na ni kiazi haswaa! Taifa lina watu wenye ujinga sana sana na wengi ni wafuasi wa CCM sijui kuna shida gani huko CCM
Umejaza matope kichwan?Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi.
3-Kujidai kuwa haogopi kuvisema vyombo vya dola
hii ni hadaa yente uhaini ndani yake.
Kwa msimamo wangu, napinga tafsiri yako kwa sababu siyo tafsiri ya haki, haijazingatia muktadha wa mazungumzo, na kwa kweli haijajengwa juu ya hoja bali juu ya hisia na mashaka ya mtu binafsi.Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi.
3-Kujidai kuwa haogopi kuvisema vyombo vya dola
hii ni hadaa yente uhaini ndani yake.
Sasa haya yanayotokea,Kuna watu wanajifanya wanapigania haki na demokrasia lakini hapohapo wanataka utawala wa kijeshi.
Hawa mimi siwaelewi kabisa wanavyo ji contradict.
Utawala wa kijeshi ni wa kijeshi, ni wa amri, hauchaguliwi kidemokrasia. Una suspend katiba.
Hutakiwi kuwa mwanademokrasia halafu hapo hapo unataka utawala wa kijeshi.
That is a contradiction.
Matatizo ya elimu finyu, uongouongo na uvivu wa kufikiri.
AWE MSTAARABU GWAJIMAAA,AWE MSTAARABU BIASHARA YAKE YA UTAPELI IMESHAISHA PALEEUkisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi.
3-Kujidai kuwa haogopi kuvisema vyombo vya dola
hii ni hadaa yente uhaini ndani yake.
Utapeli una mwisho uwe wa kidini au kisiasaAWE MSTAARABU GWAJIMAAA,AWE MSTAARABU BIASHARA YAKE YA UTAPELI IMESHAISHA PALEE
Uteuzi wowote ule lqzima mtu atahusika kuteua na huyo mtu/ watu lazima ana mapenzi yake ambayo kwa namna moja au nyingine yanaathiri integrity, hakuna mfumo katika nchi yeyote duniani unaoweza kuwa ni imara kiasi cha kutopenyeka na ushabiki. Hata Marekani unayoisifia majaji wanateuliwa kwq mlengo wao kutegemeana chama kipi kina ⁹majority katika senate na hata nafasi zingine inategemea na chama kipi kina majority katika Congress.Nilichoelewa kwa Askofu Gwajima.
Ni nchi iwe na taasisi imara. Mfano nchi kama Marekani, kwa akili za Trump bila kuwa na taasisi imara angeleta madhara makubwa sana.
Hivi vinchi vyetu bahati mbaya tatizo lipo kwenye taasisi dhaifu.
Imewahi kutokea Igp anapangiwa kazi nyingine kama ubalozi,na ukichunguza ni kitofautiana kwenye utendaji.
Eneo kingine uteuzi wa majaji, mfano Kuna majaji waliteuliwa kutoka ngazi ya uhakimu kisa wamewafunga wapinzani haswa kipindi cha awamu ya tano. Kama nakumbuka vizuri kuna hakimu alimfunga Sugu,hatua iliyomfurahisha Jiwe na baadaye alipandishwa cheo na kuwa Jaji,sasa unategemea ataegemea wapi ikitokea shauri lenye maslahi ya watawala!!
Uwe kama aliyepita watu wanapigwa eneo la mahakama yeye yuko kimya. Lakini ukiangalia alivyopatikana ni kama Cj wa kwanza kukaimu nafasi ya uCj kwa muda mrefu Sasa huwa Kwa njia aliyoipitia ni lazima aegemee kwa watawala zaidi.