NIA YA KUWASHTAKI TALA NA BRANCH TANZANIA

Nilikaa na deni yule mkaka akanipigia kuniuliza nitalipa lini deni lao.
Nikamwambia hapa niliko niko Airport naenda Uk.
Na namba nabadili, labda nikirudi.
Ila sie wakopaji samtaim jeuri sana tupatapo mkopo
Ndugu mteja wa TALA tumia Busara kurudisha mkopo uliochukua kama sisi tulivyotumia Busara tukakusaidia pindi ulipohitaji mkopo,kumbuka Tala tunafanya kazi na taasisi mbalimbali ili kuweza kuwashika wote wanaokaidi kulipa mikopo yao ila tunatumia Busara tu kukumbusha kila siku lipa deni lako LEO kwani makubaliano yako na Tala ni kulipa mkopo ndani ya mwezi mmoja lakini paka sasa upo nje ya muda.
NB:kampuni no.tigo 888000..voda 888111

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipo install ulisoma user agreement?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washtaki Google ndiyo wanaoweka matangazo hayo kwenye simu yako ya Android. Tala na Branch wanalipia kutangaziwa biashara zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…