HivohivoNdugu mteja wa TALA tumia Busara kurudisha mkopo uliochukua kama sisi tulivyotumia Busara tukakusaidia pindi ulipohitaji mkopo,kumbuka Tala tunafanya kazi na taasisi mbalimbali ili kuweza kuwashika wote wanaokaidi kulipa mikopo yao ila tunatumia Busara tu kukumbusha kila siku lipa deni lako LEO kwani makubaliano yako na Tala ni kulipa mkopo ndani ya mwezi mmoja lakini paka sasa upo nje ya muda.
NB:kampuni no.tigo 888000..voda 888111
Sent using Jamii Forums mobile app
OhhhhOn
PM yangu please
Sasa wa [emoji34] kachemshe mawe utegemee yalainike na kuwa kama viazi.. Naona una hela za mchezo mno, hiyo gharama ya mwanasheria sidhani kama inafika idadi ya Mb ulizopoteza kisa hilo tangazo hata kwa nusuHaya yatafahamika mbele ya Pilato. Na wewe uje kuwa shahidi upande wa washtakiwa[emoji34]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wa [emoji34] kachemshe mawe utegemee yalainike na kuwa kama viazi.. Naona una hela za mchezo mno, hiyo gharama ya mwanasheria sidhani kama inafika idadi ya Mb ulizopoteza kisa hilo tangazo hata kwa nusu
Unaua sisimizi kwa jabali
TUNASOMAGA HAYA MAVIGEZO BASI?
Kulipa deni ni wajibu wako lakini haukamilishi licha ya kukumbushwa kila wakati kuhusu malipo, kitengo cha madeni tumepewa idhini ya kukuchukulia hatua dhidi yako. Jina lako lipo kwenye list ya wadaiwa SUGU na wadanganyifu wa mtandaoni waliovunja kanuni na mkataba dhidi ya kampuni. Sio kukutangaza pekee tayari mamlaka husika ishapokea taarifa zako utawajibika kwa mujibu wa sheria. Malipo yafanyike TALA TANZANIA..LIPA LEO..