Hata kama mkisema anafanya tifu ili atimkie ccm poa tu, siasa ndivyo zilivyo. Wanasiasa wa tanzania wana style yao ya kufanya siasa kulingana na exposure zao kwa wananchi. Kama Lissu ataenda CCM fresh tu, huo ndio mtindo wa wanasiasa kuhamahama vyama kwa maslahi yao binafsi