Niagara Fall

Niagara Fall

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Kuna watalii watatu walipata bahati ya kutembelea maporomoko ya maji huko Niagara Amerika... Watalii hao walikuwa Mwarabu, Muingereza na Mjapani.

Inasemekana huko Niagara Falls ukipiga ukelele au ukiongea kwa sauti kubwa... Sauti inajirudia, yaani inafanya mwangi (echo). Watalii wale kwa kutaka kuhakikisha hilo, wakaona nao wajaribu... Akaanza Mwarabu akasema Salaam! Sauti ikajirudia... Salaam... Salaam... salaam.

Akaja Muingereza nae akasema... Hello; ikarudi sauti inasema Helloo... Helloo... helloo.

Mwisho Mjapani nae akasema; Ho-kai -ku to ji-tsu...! Sauti ya echo ikarudi inauliza... What did you say?
 
You guyz... u miss da joke.

Thanx anyway!
 
Dis was funny bro...lugha haitambuliki!!!
 
Back
Top Bottom