yalekegraphix
Member
- May 11, 2016
- 89
- 270
- Thread starter
- #41
working
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is fireLOGO DESIGN
View attachment 2367369
Faida ya business card siku hizi..ni kutongozea wanawake kirahisiiiii....ukikutana na demu unachomoa tu unampa hapo atakutafuta kama ruba .....Kiukweli.. Smart Phonee zimeua kabisa hii biashara ya business cards. Unakuta mtu anatunza tu namba kwa simu za biashara mbalimbali kuliko atembee na business cards kibao. Pamoja na yote, Good luck to you my friend on your venture. 👌👌
Its a good marketing tool. Kwa sababu inabeba brand na address ya biashara iliko ni rahisi kuwa contacted. Japo kuna wazee wameitumia kama mbinu ya kuwavua vyupi watoto wa kikeahaha ni kwel boss lkn matumiz ya business card bado yaheshimiwe
Matumiz mabaya ya business cardIts a good marketing tool. Kwa sababu inabeba brand na address ya biashara iliko ni rahisi kuwa contacted. Japo kuna wazee wameitumia kama mbinu ya kuwavua vyupi watoto wa kike