Niagize business cards nikuletee kwa 25,000/= tu kwa 100 pcs free design, free delivery

Kiukweli.. Smart Phonee zimeua kabisa hii biashara ya business cards. Unakuta mtu anatunza tu namba kwa simu za biashara mbalimbali kuliko atembee na business cards kibao. Pamoja na yote, Good luck to you my friend on your venture. 👌👌
Faida ya business card siku hizi..ni kutongozea wanawake kirahisiiiii....ukikutana na demu unachomoa tu unampa hapo atakutafuta kama ruba .....
 
ahaha ni kwel boss lkn matumiz ya business card bado yaheshimiwe
Its a good marketing tool. Kwa sababu inabeba brand na address ya biashara iliko ni rahisi kuwa contacted. Japo kuna wazee wameitumia kama mbinu ya kuwavua vyupi watoto wa kike
 
Kwa huduma zote za Graphics Design mnaweza kunichek ili nifanye kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…