Thanks........inshallah!Fungua ofisi DODOMA.
Wazo zuri sana hili lifanyie kazi. Kuna wateja wengi sana. Nami ni mmojawapo. Business Card bado ni muhimu sana, hasa kama unafanya biashara na foreigners. Ishu nyingine; unaweza kunichapishia Katiba za Kikundi chetu kama nakala 50, kama unaweza gharama ni sh ngapi?Fungua ofisi DODOMA.