Niagize chochote Dubai

Hongera Sana mkuu wewe ni hustler kweli

Kutoka kutamani kuwa Askari police
Kutoka kuwa mlinzi
Kutoka kutamani kuwa mwandishi wa habari.

Na Leo sasa un-chase dreams za kuwa mfanyabiashara mkubwa hongera Sana

Keep hustle on.

Vipi wanawake wa kiarabu wanapatikana?
 
Hamna kitu kama icho warabu wanatuchukulia sisi wa Africa kama watumwa sasa mtumwa awezi kugusa mali ya mtwana hata kidogo na ukionekana una mbughuzi mwanamke faini yake huku ni zaidi ya 3 million ya papo kwa hapo harafu ndio wanaangalia uzito wa kosa kama wakufunge au wakurudishe kwenu...!​
 
H Hata mzungu kupata shida mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…