Niagize chochote Dubai

Je ulikuwa tayari una mwenyeji wako huko? Manake mtu akitoka hapa sio afike Airport aanze kuzurura huko dubai, yani mfano kafikq hapa bongo aanze kuzurura mara kipawa, jet, machimbo, gongs, vingunguti 🤣🤣
 
Dah.! hii imekaa poa sana.. Dhahabu kwenye ATM
Jabbzbbajja
Mimi sikuwa na mwenyeji ila Mungu akunitupa...nilipata ndugu huku
Mimi sikuwa na mwenyeji ila Mungu akunitupa...nilipata ndugu huku
Kaka mimi niko na swali nahitaji unisaidie majibu yake kama itawezekana,niko nampangi wakuja dubai soon kutafuta maisha,sasa kuna mtu aliniambia kua huko dubai kuna sehemu ambayo unaweza kupata nyumba za bei rahisi ambazo unaweza ukapanga yani ziko kama hostel unakuta kuna kitanda na godoro wewe unaenda na begi lako tu then kwenye chumba kimoja mnaweza mkawa mnashea watu watatu au wanne inategemea na hio hotel jinsi ilivyo then unalipia kama ni mwezi mmoja au miwili alafu unaishi hapo,sasa nilikua nahitaji kujua kuhusu hizo nyumba zinapopatikana maeneo gani au katika mji gani pia na usalama wake kiujumla maana kwenda kukaa room moja na watu ambao hamjuani mmekutana tu kwa mara ya kwanza nayo ni tatizo .
 
Zinapatikana Dubai nzima na sio hotel ni room tu ambayo mtu ameipangisha kwaajili ya kuwapangisha wengine...wenye uhitaji wa kujiifadhi...
sehemu yenye bed space nafuu kidogo...labda AJMAN huko au sharja...ila madili na kazi Zote zipo mjini...! Deira huko ambako ni sawa na kariakoo kwa huko nyumbani bongo​
 
Mkuu mbona ameshakujibu kwamba nunua tu huko huko ulipo, tafsiri yake haiwezekani. Sasa kipi usichoelewa hapo Shehe wetu!?
Pengine alijibu hivyo kulingana na offer niliyoitoa awali.. nimeomba anipe price halisi na jinsi ya kutuma lakini majibu sipati..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…