Niagize gari gani kwa bajeti ya Tsh milioni 17?

Niagize gari gani kwa bajeti ya Tsh milioni 17?

Weka picha mkuu na bei yako hapa kama utojali!
20221031_093227.jpg
 
Wakuu msaada wa selection ya gari nzuri (based on muonekano, economy na performance) bajeti 14 - 17 mwisho. Gari kwa ajili ya route tu mitaani na trip tatu/nne kwa mwaka za dar mwanza.
My suggestion ilikua toyota auris au blade… napokea na ushauri kwa magari hayo!
Leta gari za bei hizo ulizoziona huko mtandaoni wadau wakuchambulie uamuzi ubaki kwako.
 
Leta gari za bei hizo ulizoziona huko mtandaoni wadau wakuchambulie uamuzi ubaki kwako.

Honda cross road
Toyota blade
Toyota auris
Vw golf
Subaru sg5
 
Nauza ist nimeagiza mwaka jana...

Km 48000 now

Interested inbox

IMG_0719.jpg

IMG_1669.jpg
 
Back
Top Bottom