Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Agizaphone 12 pro max au S21 Ultra
ahahaa mkuu unawaelewa vizuri sana aiseOgopa sana wale vijana wanaofuga ndevu sinazochanwa kama nywele masaa 24 huku wamevaa aidha vishati vya kubana na visuruali kama Michael Jackson au mapensi na sandals pamoja na socks.
Wale viumbe tofauti yao na wale wauza miche ya sabuni ikifanywa simu wa Kariakoo ni ule unadhifu na lugha laini. Lakini wale ni majambazi. Wanaweza kukuuzia toleo la iphone ambalo hata Tim Cooks CEO wa iphone halijui.
Sasa nenda ukaachwe na ukumbusho wa kudumu toka MAKUMBUSHO.
Boss tufanye kazi hebu!
Sifahamu aisee, me kuna wakati nilikonektiwa tu.Utaratibu wa Kuagiza Kenya Ukoje!
Website ipi?Agiza dubai sku tatu inakufikia