Niagize simu nje au ninunue hapa hapa Bongo?

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Nataka kununua iPhone 12 Pro Max au S21 Ultra, je ni bora niagize nje (eBay) ama ninunue tu Makumbusho?
 
Ogopa sana wale vijana wanaofuga ndevu sinazochanwa kama nywele masaa 24 huku wamevaa aidha vishati vya kubana na visuruali kama Michael Jackson au mapensi na sandals pamoja na socks.

Wale viumbe tofauti yao na wale wauza miche ya sabuni ikifanywa simu wa Kariakoo ni ule unadhifu na lugha laini. Lakini wale ni majambazi. Wanaweza kukuuzia toleo la iphone ambalo hata Tim Cooks CEO wa iphone halijui.

Sasa nenda ukaachwe na ukumbusho wa kudumu toka MAKUMBUSHO.
 
ahahaa mkuu unawaelewa vizuri sana aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…