NiagizeDar (Testing Mode) *149*46*14#

NiagizeDar (Testing Mode) *149*46*14#

mzizi1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
265
Reaction score
703
Habari wakuu, nawakaribisha katika mfumo huu mpya wa kidigitali kwa ajili ya majaribio *149*46*14# Buree kwa watumiaji wa Vodacom, Tigo na Airtel
niagize.png

Nunua Bidhaa kupitia Instagram, Facebook, WhatsApp nk, kisha tuagize sisi kwenda kuhakikisha bidhaa yako na kuisafirisha

NiagizeDar
Ni mfumo wa kisasa unaolenga kupunguza gharama za watu walioko Mikoani kuagiza bidhaa Dar.

Kwa kutumia mfumo huu tunao mawakala wa kuaminika waliopo wilaya nne za jiji la Dar (ilala, ubungo,kinondoni na Temeke). Ambao utawatumia kwenda kukuhakikishia mzigo wako au bidhaa yako ulionunua na watahusika kuisafirisha kutoka Dar kwenda mkoani au popote ulipo kwa uamini mkubwa.

Faida kubwa ni kwamba tutapunguza kutapeliwa au kubadirishiwa bidhaa. Na pia kutengeneza fursa za ajira kwa vijana waliopo Dar

Hatua za kufuata ili kuagiza nasi
1.
Piga *149*46*14# kisha
2. Chagua aina ya Huduma: kama ni muuzaji ( kwa ajili ya kutuma mzigo) au Mnunuzi (Kwa ajili ya kuagiza Bidhaa)

3. Ingiza Eneo/wilaya ya Bidhaa ulionunua ( kama ni Ubungo, kinondoni, Temeke na Ilala )

4. Ingiza namba ya Muuzaji (
namba hii ni ya muuzaji ulonunua bidhaa kwake, itatumika kwa ajili ya kwenda kuhakiki bidhaa)

Mfumo utaweza kukuunganisha na Wakala wetu ambae atafuatilia uhakiki wa mzigo wako na ukiridhika basi tutafanya utaratibu wa kuusafirisha na kuhakikisha unakufikia kwa usalama kabisa

Karibu kwa majaribio na ushauri piah
 
Back
Top Bottom