Niaje huyu?

Niaje huyu?

sijui for sure
huoni kuwa kuna camera effects pia?
iko too slow na imezidisha action kidoogo...lol

but a bit weird lol

Boss...hiyo imetokea jana tu na mimi kwa macho yangu niliishuhudia in real time bila effects zozote zile na nikabaki mdomo wazi na nikahisi leo lazima itakuwa gumzo kwenye social media.

Walioangalia post game coverage wata vouch kwa ninachosema.
 
atafanya wanaoichukia Heat waongezeke lol
 
Laptop yangu kimeo nini, sioni hiyo picha mkuu
 
Back
Top Bottom