Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Naitwa Emmanuel, 23 yrs. Ni mwanachuo wa chuo fulani cha mifugo (ngazi ya diploma) mkoani Dodoma. Mnamo mwezi Julai hadi Septemba (miezi miwili) nitakua likizo.
Ombi: Kwa mtu yeyote yule ambae anaweza kunipatia kazi au kibarua kitakachonipatia takriban sh. laki 4, kwa ajili ya ada ya muhula ujao wa masomo.
NB: kibarua chochote halali (sina chaguo), mkoa wowote.
0716649482.
Asante, mubarikiwe nyote.