Niambieni sifa za wanawake wa kabila la wangoni?

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
Wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.
 
Wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.

Mkuu Hazole, Nachelea nisije sema uongo hapa. Ingekuwa ni Wakurya ningetia neno.

 
mama anaolewa na mwanae na wanaishi miaka kumi
 
snowhite uko wapi??
Kukusaidia mfuatilie snowhite post zake, they are so sweet, wavumilivu, wana manjonjo kitandani na wanapenda ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.

Kwa kuwa Kaunga yuko online katika thread hii, najua atatia neno la busara kwani huwa ni hazina isiyokauka.

 
wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.

hongera sana!
Ni wachangamfu;
wakarimu kwa wageni wa kiume zaidi,
hawana wivu kwa mashoga zao (wanawake)
huduma za kijamii kwao ni jambo la kawaida (wako juu kwa kweli)
 
hahahaha.... what is this?? nipo makambako naweza geuza gari aisee

Hukuipata ile ilitangazwa sana tu. alelo shoni utakusenda kuhaya kumwinyu we HAZOLE !??
 
Last edited by a moderator:
Wakuu.
Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni.
Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.

NinaDate na msichana wa Kingoni muda huu na nilichokiona kikubwa ni wanapenda sana kale kamchezo ka kitandani na wengi wao ni weusi, sijawahi kuona msichana wa Kingoni angalau awe hata maji ya kunde. Na hata ndugu zake wote ni weusi tiiii, sasa najiuliza nikichanganya damu sijui itakuwaje huyo mtoto. Nilitaka kusahau, wana maHips makubwa hadi raha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…