MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,184
- 5,435
Nasikia wangoni wanakata mauno balaa mafunzo toka unyagoni.Itabidi tufanye ziara huko jamani kwa watani zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe weh ni wifi?Mme wangu mimi anajua ......huyoo alaaaa
Yes nipe sifa za wanaume wangoniKumbe weh ni wifi?
Ngoja niwafanyie kautafiti.Wanapenda kusuguliwa.uwe na nguvu siku zote hadi uzeeni.vinginevyo kushare muhimu
Kwani ni chakula??, acha kuropoka na wewe.Watani zangu hao..! Ni watamu balaa..! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]